Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Nilishashindwa kuvaa surauli ya kitambaa. Labda siku hio Niko zamu ya kuhudumu Kanisani, nikitoka hapo naenda kuvua. Inaninyima Uhuru saaana

Kitochi Original
 
weka na slip yako, ili waje kwa wingi 'imbobo'
 
Aliyevaa hivyo kavaa kishamba sana yan..mapigo ya kilokole hayo
 
Duuuuuhhh...
Suruali ya kitambaa na mashati ya kung'aa hivyo mara ya mwisho nilivaa kwenye mahafali ya kumaliza elimu ya msingi mwaka 1994.

Mpaka leo na utu uzima wangu huu ni mwendo wa kadet, jeans nyepesi, tishet na shati simple.

Siku nikivaa ming'aro kama hiyo hata wife anaweza kuomba likizo ya muda mfupi akatulize akili home kwao kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaua kipaji na uthubutu kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…