Habari za wakati huu wakuu leo ningependa tuongelee uvaaji wa suruali za kitambaa.
Kawaida unapohitaji kuvaa suruali za vitambaa kwanza kitu cha umuhimu kinachohitajika ni shati ya juu itakayoendana na Dress code ya suruali ya chini.
Kwa kawaida ni lazima uchague shati ambalo ni classic kwasababu ule muonekano wako wa juu ndio utakao match na suruali ya chini ya kitambaa na kuonekana classic.
Watu wengi wanakosea katka muunganiko wa juu ili kumatch na chini so kitu cha pili ni ngozi yako. Automatically unapovaa nguo ya aina yoyote ile jaribu kumatch na colour yako ya ngozi.
Hii itakusaidia pia utakapovaa utakuwa classic tofauti na kuvaa mavazi ambayo hayaendani na colour yako kama ni black. Mfano angalia suruali za kitambaa mfano Kijivu, Brown.
View attachment 1350894View attachment 1350896
Sent using
Jamii Forums mobile app