Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

I see. Please slow down. Mambo mengine ni majaaliwa ya muumba wajameni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio majaliwa mkuu ni kujiregeza tu. Unafikiri huyu angekuwa si mvivu wa mazoezi ya chini kama kukimbia kupanda ngazi,kupanda milima,unafikiri angekuwa hivyo?.

Anaweza kuwa mrefu lakini mwili mkakamavu wenye uwiano. Unamkuta mtu kama huyo huyo huko kijijini kimejaa jaa miguu,kijitu kimekomaa hivi. Mwili wote una uwiano,urefu na mwili ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio majaliwa mkuu ni kujiregeza tu. Unafikiri huyu angekuwa si mvivu wa mazoezi ya chini kama kukimbia kupanda ngazi,kupanda milima,unafikiri angekuwa hivyo?. Anaweza kuwa mrefu lakini mwili mkakamavu wenye uwiano. Unamkuta mtu kama huyo huyo huko kijijini kimejaa jaa miguu,kijitu kimekomaa hivi. Mwili wote una uwiano,urefu na mwili ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unakandia sana. punguza asee kama utaweza maana mwisho wa siku hata wewe kuna vitu ambavyo wengine wanatamani wakubadilishe ila wanakuvumilia tu. sio fair kwa huyo kwake kabisaa
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20200209-223528.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ukitupia picha hapa jf hakuna rangi utaacha kuona🤗🤗great thinkers watakuchambua kwelikweli😅😅mleta mada huko aliko anajilaumu sana kwa kitendo chake cha kutupia picha.

Kuna mmoja alidai ni mgeni anawaomba wenyeji wampokee na pichaake akatupia kilichofata baada ya hapo nadhani alijilaani🤣🤣
 
Ukivaa suruali ya kitambaa ili uonekane 'sharp' basi suruali yako iwe na quarter break ( urefu wa wa suruali) au if you're savvy basi go with no break kabisa . sio unavaa suruali bwanga utaonekana mchafu.

images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom