Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Sio majaliwa mkuu ni kujiregeza tu. Unafikiri huyu angekuwa si mvivu wa mazoezi ya chini kama kukimbia kupanda ngazi,kupanda milima,unafikiri angekuwa hivyo?.I see. Please slow down. Mambo mengine ni majaaliwa ya muumba wajameni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kuwa mrefu lakini mwili mkakamavu wenye uwiano. Unamkuta mtu kama huyo huyo huko kijijini kimejaa jaa miguu,kijitu kimekomaa hivi. Mwili wote una uwiano,urefu na mwili ulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app