Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamani jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora nichomekee suruali kwenye soksi kuliko kuchomekea shati kwenye suruali sisi wenye mabusha kuchomekea ni fedhea kwetu
 
Hot as the heading. Naona unamfanyia upembuzi yakinifu mtoko wake Bora wa muda wote.
 
Kwa hiyo ukifanya mazoezi miguu inapungua urefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo mazoezi mengi tu ya kutengeneza mwili wako vile utakavyo. Kuipunguza miguu isiwe mirefu,ni kufanya mazoezi ya kuijaza jaza,ya chini sana,kichura sana,ruka kijeshi sana. Kukimbia kwa kupanda kupanda ngazi au mlima. Hata kule kukua kwa kasi kunapungua sana,ksbb unai-disturble. Unatengeneza shep ya mwili kuchangamka hata kwa muonekano. Mavazi pia yaendane na ulivyo. Bahati mbaya vijana hawa wa siku hizi wavivu mbayaa. Sisi wakati tunakuwa ulikuwa unachekwa ukiwa kizembe hivyo,mpaka unakomaa kuubadirisha kwa kasi. Imenijengea mpaka sasa,miaka 40's hakuna siku inapita bila mazoezi. Wewe madam unafikiri kwa nini mtu kama huyo huyo kimguu kimejaa,kijitu kama kimekomaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa rafiki nimekuelewa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha! Kwamba kwa mpangilio tu wa mavazi watu wenye macho ya rohoni mmeona mpaka spray anayotumia. Spray yake bila shaka ndo ile akipulizia hapa mpaka mtaa wa 9 huko wananusishwa harufu.
 
Nice ila next time match pia rangi ya mkanda na kiatu!
 
Rejea picha za Obama akivaa shati khasa jeupe anakunja mikono ingawa c mpaka juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi picha yako tu imenichekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ