malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo