...Pia usisahau kama ina uhusiano wowote makamanda wa CDMNgoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
ndugu si kila jambo ulipeleke kisiasa. kama umejenga ndani ya eneo la miundo mbinu ya barabara n.k utabomolewa tu. ndiyo maana watabomoa vic fish ambacho ni kiwanda wala hakihusiana na CDM ama CCM. ukiwa unawaza siasa tu kila muda utakuwa haupo sahihi....Pia usisahau kama ina uhusiano wowote makamanda wa CDM
Mbona iko umbali mrefu kutoka railway station? Ni zaidi ya mita 60.Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Wakidaivert kwa akili yao wanaona reli itavunjikaDah kweli serikali haina huruma km kifo, hotel nzur km hyo wanaibomoaaa, wanashindwa kudivert hyo reli yao?
Kamanga ferry kwenye soko la samaki je?Wanabomoa mpaka nusu ya shule ya msingi ya nyamagana!
Wakidaivert kwa akili yao wanaona reli itavunjika
reli inaenda kigoma hiyo haiishii hapo mwanzaMimi naona hiyo reli wange ipeleka nje ya mji kidogo mfano buhongwa ili kutanua mji na maendeleo maana jiji la mwanza linazidi kuongezeka pia huko buhongwa kuna tambarare
Unadivert vipi train ya umeme kwenye kaplot kadogo hivyo??? Alignments za standard gauge ni tofauti na metre gauge ile train ili kuwa na high speed sharti number moja ni lazima inyooke no corners no pumps.Wangeidivert na mwenye hotel achangie gharama, ila jamani ndo maana huwa tunarogwa watumishi wa umma unazeeka domo limepinda hukoo , we fikiri hao watu wa ardhi waliomuuzia hilo eneo halafu jamaa angie hasara hiyo,hata mimi ningemtoa mtu roho aisee
Hapo serikali ichangine gharama aiseee,, huu siyo uungwana haki ya nani!! Wamlipe 90% ya usumbufu wa kuuziwa eneo lisilo!!Wangeidivert na mwenye hotel achangie gharama, ila jamani ndo maana huwa tunarogwa watumishi wa umma unazeeka domo limepinda hukoo , we fikiri hao watu wa ardhi waliomuuzia hilo eneo halafu jamaa angie hasara hiyo,hata mimi ningemtoa mtu roho aisee
Kwani steshini ya standard gauge lazima iwe katikati ya mji? Waiache huko Mwanza south huko kuwe na terminal kubwaaaa watu wanashukia huko wanapanda mwendo kasi!!Unadivert vipi train ya umeme kwenye kaplot kadogo hivyo??? Alignments za standard gauge ni tofauti na metre gauge ile train ili kuwa na high speed sharti number moja ni lazima inyooke no corners no pumps.
Umenikumbusha enzi hizo niko mwnz ndo bado mpya mpya tumeenda hapo bwana jioni jioni nkaagiza sambusa skumbuki bei halisi ila ilinishtua.hahahahah, sasa misosi shost si mpaka niagize! misosi ya pale bei iko juu utadhani unanunua sijui kitu gani tu! Pale huwa ninaenda kama "nina offer" sio pesa yangu. hahahahahahahahahahah
Unadivert vipi train ya umeme kwenye kaplot kadogo hivyo??? Alignments za standard gauge ni tofauti na metre gauge ile train ili kuwa na high speed sharti number moja ni lazima inyooke no corners no pumps.
Station ya mwanza bado ni kubwa mno Inahitaji eneo kidogo la kuongeza kuliko kuanzisha station mpya nyingineKwani steshini ya standard gauge lazima iwe katikati ya mji? Waiache huko Mwanza south huko kuwe na terminal kubwaaaa watu wanashukia huko wanapanda mwendo kasi!!