Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Jamani mimi nataka niende Mwanza next week. Hotel gani ni nzuri ya kufikia? Nice food, clean rooms, drinks na interaction ya yale mambo yetu pendwa! Kwangu mimi Usafi na Usalama ni priority than anything!

Bajeti yangu 60-80K.

NB: Siulizii Guest House za akina Geita, Visano, Shinyanga et al. Huko nilishalala vya kutosha miaka hiyo!
Njoo KINGDOM, WAKO VIZURI SANA
 
Jamani mimi nataka niende Mwanza next week. Hotel gani ni nzuri ya kufikia? Nice food, clean rooms, drinks na interaction ya yale mambo yetu pendwa! Kwangu mimi Usafi na Usalama ni priority than anything!

Bajeti yangu 60-80K.

NB: Siulizii Guest House za akina Geita, Visano, Shinyanga et al. Huko nilishalala vya kutosha miaka hiyo!
Hiyo budget ya Hotel za kawaida sana,hoteli gani ya kisasa utapata chini ya USD 50?labda unaota.
 
Uzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.
Umetapika ...ww ni muudumu wa pale nini?.....
 
hii hotel haiwezi kubomolewa kwasababu jiografia ya eneo ilipo hoteli kuna rasi(kijipande cha ziwa kimechongoka kuelekea nchi kavu). hii hoteli imejengwa kwenye kingo ya rasi upande wa pili. kwa maana hiyo reli haiwezi kivyovyote kupita maeneo hotel ilipo labda iwe na kona kali kama za kitonga au pengine waipitishe juu ya ziwa hapo naweza kukubaliana na hii thread. kwa upande mwingine nimekubaliana na mtoa maada kuwa hii ni tetesi siyo official information.
 
Kama iko ndani ya hatua thelasini kutoka kwenye leli lazima ibomalewe
 
ipo nje mkuu ya eneo la reli. ila vic fish na GGBP na kuna jengo fulani pale voil lazima kieleweke. makaburi ya kiislamu washakubali kuyabomoa kupisha ujenzi wa hiyo mambo.
 
Aaaargh... Waivunje tu. Na ikibidi na mmiliki wamuue. Nimechoka kusikia habari za hovyo kila siku. Badala ya kusikia mema kiiiila siku huyu katumbuliwa, mara sukari bei juu, kule unga haukamatiki. Potelea kweusi!! !!
Kweli umechoka mkuu. Duh!
 
Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mmbea mwandamizi. Tangia umetaka kuibiwa na matapeli wa voda umekuwa kmyaaa....hy kalete huo ubuyu
 
Labda watu wa mazingira wakishikirikiana na watu wa kijani ndo wanataka kubomoa ikiwa huyo mmiliki anafadhili pipoz
 
Nitaenda hapo Ryan hotel nione huduma zao Kama zinaendana na ninachokisoma kwenye website yao. Nitaleta mrejesho hapa.

Kingdom nilishafikia mara moja. Ndo ilikuwa imefunguliwa. Sijarudi tena. JB Belmont tangu mmliki atangulie mbele ya haki..Imedorora sana. GoldCrest huduma zake zimedorora pia. Sijui Mathias kwa nini anashindwa kuweka management ya nguvu. Ingawa nilikuwa naipenda kwa sababu iko CBD.

Hotel siyo biashara ya kila mtu. Inahitaji umakini wa Hali ya juu. wamiliki wajipange.
 
kama ipo eneo la reli ibomolewe tu ....kazi ya kubomoa ianze hata leo leo
 
Back
Top Bottom