Hotel ya Southern Sun - Weaver Birds

Hotel ya Southern Sun - Weaver Birds

Sina Connection Namna Utakavyoupata
Ila Ukipata Mtu Aende Pale Jeshini Jirani Na Mzakwe Kuna Bonde La Ufa Imejaa Tele
Kutoka Posta Dar Es Salaam Mpaka Kimara
nimeserch google map sijaona sehem inaitwa mzakwe kimara... unaweza share google location
 
nimeserch google map sijaona sehem inaitwa mzakwe kimara... unaweza share google location
Mkuu
Samahani
Mzakwe Ipo Dodoma Tanzania Ndiyo Chanzo Kikuu Cha Maji Jijini
njia Ya Kwenda Arusha, Ukitoka Veyula Inafuatia Jeshi Ndiyo Mzakwe
Migunga Hapo Mingi Sana Sana Ukitaka Mbegu Miche, Inajiotea
 
Habari Wana jamvi,

Kwa wale waliowahi kufika hotel ya Southern sun Posta Mpya karibu na hospital ya Ocean road, Dare es salaam mtakua mmeshawahi kuona viota vingi vilivyojengwa na hawa ndege aina ya "Weaver birds" kwenye palm trees at the entrance of the hotel.

Swali langu ningependa kujua wamewezaje kuwa-attract hawa ndege kujenga viota vyao kwenye hiyo miti ya palm trees at the entrance of the hotel.

Kama kuna mdau anajua mbinu za kuwaattract hawa ndege kujenga viota kwenye palm trees nyumbani kwako atujuze.

Natanguliza Shukrani...
View attachment 2999164View attachment 2999165
Kwa taarifa yako ni kwamba ndege dume humjengea mpenzi wake jike na kumkabidhi, jike hukagua na akiridhika anaingia na kuishi humo, endapo hataridhika kinachofuatia ni kukibomoa kiota kwa hasira mbele ya bwana wake! Viumbe vyote hufanana kimaisha.
 
wanaume tutafika mbinguni tumechoka sn😀😀
 
hapa nilipo miti ipo ndani ya fence so sio rahisi kupigwa mawe.
Kwani boss wakiwa ndani ya fence wapiga njia hawawezi kuwarushia mawe? Hapo southern Sun pana utulivu wa kutosha. Kwa hiyo siku ya kwanza tu walipokuja wakatulia kwenye hiyo miti hawakupata bugudha yoyote wakamua kuhamia. Hivi na kwako siku wakiwa wanakuja wasipate hiyo bugudha utawaona wameanza kujenga. Hawa sisi tuliokulia vijijini walikuwa wanajenga sana kwenye miti mkubwa majumbani shida ilikuwa manati!
 
kwangu pana utulivu nikikosa hii miti ya miiba ambayo inakuwa mikubwa nitaweka palms tu, fence ni ndefu kwenda juu so watoto hawawezi kuwasumbua
 
Back
Top Bottom