Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
asante mkuu, hii ni ya nani na iko hatua gani?
ukienda kuwauliza wenyeji huko watakwambia ni ya Rizwani Jk...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuu, hii ni ya nani na iko hatua gani?
Hahahahaaaa....ukinivimbisha mbavu hakyanani utakuja kunifanyia masaji Apologise lady
Wanajenga maeneo gani mkuu? Aliyeshika kazi unaweza kuwa unamfahamu mkuu?
Salaam wakuu,
nahitaji orodha ya hotels, lodges, na guest house zenye hadhi ambazo ziko under construction na ambazo zimefunguliwa hivi karibuni, popote Tanzania, kuondoa hapa Dar. Ukiandika na mawasiliano ya mmiliki au hata jina lake tu utakuwa umenisaidia sana, kuna kazi nahitaji kufanya na hawa wakuu. Natanguliza shukrani.