Hoteli gani inajengwa mkoani kwako?

Hoteli gani inajengwa mkoani kwako?

Mkuu unaweza kufanya moja Kati ya haya

1. Kununua list ya hotel mpya hapa nchini.
List Ina hotel name, address, city, post code, district, region, zone, Tel, fax, mobile, contact name, email, Web address, category.

Pia Nina list ya 2012 ipo vizuri.
List zote zinauzwa kwa bei nzuri.

Au

Kutafuta namba za mawasiliano za halmashauri zote nchini ili kupata taarifa za hotel mpya. (kuna wilaya na halmashauri 150).kwa muhimu wa Sheria, hotel zinalipa ushauri katika eneo zilizopo.

Note: orodha ya halmashauri pia I napatikana za gharama za Ziada.

Au

Tafuta namba za mawasiliano za contractors nchini wakupatie taarifa za miradi ya ujenzi wa hotel kama wanazo.

Kwa ushari zaidi napatikana:
Tel:0767102102
Email :wigotz@gmail.com
 
Wanajenga maeneo gani mkuu? Aliyeshika kazi unaweza kuwa unamfahamu mkuu?


Wanaojenga ni CHINA RAILWAY COSTRUCTION COMPANY... wananajenga maeneo ya philips pale ilipokuwa Hotel 77 ..opposite na Gymkana club
 
Arusha ipo hii RENA Lodge & Hostel | Rena Lodge & Hostel | Feel at Home ukihitaji mmiliki ni PM

Salaam wakuu,
nahitaji orodha ya hotels, lodges, na guest house zenye hadhi ambazo ziko under construction na ambazo zimefunguliwa hivi karibuni, popote Tanzania, kuondoa hapa Dar. Ukiandika na mawasiliano ya mmiliki au hata jina lake tu utakuwa umenisaidia sana, kuna kazi nahitaji kufanya na hawa wakuu. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom