Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kiwanja changu goba nakiuza na hii brevis yangu nikalale hapo hata siku mbili na m bongo movie mmojaNilikuwa pale kwa wiki kikazi ZAIDI jamaa wamejipanga sana
Inategemea, kwan 50,000/ kwa mwingine c mtaji?kuna watu wanaingiza Milioni 7 kwa dakika. hela kama hiyo si mtaji kwao.
ni mtaji . maana yangu, hela kama hiyo si chochote kwa watu wengineInategemea, kwan 50,000/ kwa mwingine c mtaji?
Mfanya kazi wa hapo ukute analipwa laki kadhaa. Hafikishi hata M kwa mweziKwa kweli hiyo sio fair....tunaumizana jamani
Wakishaanza kuectia huko basi itashuka bei mpk elfu 22Tusubiri kuona wasanii wa bongo move wakienda kuomba ku ectia
Huo ndio ukweli,Ngoja tusubiri tuWakishaanza kuectia huko basi itashuka bei mpk elfu 22