Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

jamani amewekeza mtanania ama mwekezeji wa nje? Maana kama ni mtanzania basi anaota ndoto kuweka gharama hizo ni mwizi number moja!! tena fisadi aliyekubuhu na jambazi. Hiwezekani siku moja 22,000,000
 
jamani amewekeza mtanania ama mwekezeji wa nje? Maana kama ni mtanzania basi anaota ndoto kuweka gharama hizo ni mwizi number moja!! tena fisadi aliyekubuhu na jambazi. Hiwezekani siku moja 22,000,000
Mkuu rudia thread utamjua mwekezaji..!
 
Mkuu rudia thread utamjua mwekezaji..!
Baada tu ya kuona 22,000,000 a night hata sikuendela maana ilinichefua. naona huyo aliwekeza kabla ya MAKUFULI KUFUNGA NA KUTUPA FUNGUO. Kwa sasa kama anapata wateja labda 100% wa nje
 
Kawaida sana hizo m22..ukichange to dollars watu tunatumia zaidi ya hiyo
 
Nilikuwa huko last Week..kuko vizuriii sanaa...
 
View attachment 390027Hoteli hii iko katika kisiwa cha Thanda kusini mwa Tanzania, ina vyumba 5 vya kulala ambapo itakugharimu shilingi milioni 22 kulala hapo kwa usiku mmoja.

Hoteli hii inakadiriwa kuwa na ukubwa wa ekari 20 ikiwa imezungukwa na viumbe mbalimbali wakuvutia waliomo ndani ya maji.

Hoteli hii inapakana na kisiwa cha Mafia, unaweza kufika kwa kutumia helikopta kutokea Dar es salaam, au kwenda kwa ndege hadi Mafia na kisha kutumia Boti maalum kwa ajili ya wateja.

Ukiwa katika hoteli hii unaweza kufurahia mambo mbalimbali kama kuogelea, uvuvi, diving.

Hoteli hii inamilikiwa na Christin na Dan Olofsson kutoka nchini Sweden. Walikuwa na ndoto za kutafuta eneo ambalo halijakaliwa na watu na kutengeneza sehemu tulivu ya kupumzika na ndipo wakalipata eneo hilo Tanzania.

Mh kwa wakat huu aiiseee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji113]
 
Back
Top Bottom