Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

pia kuna fun njovu karibia na hapo ni 15min kwa ndege
 
Mm Niko kwenye boti soon naingia, naomben muda nitumie pesa jamani
 
Watalala akina Ronaldo.na wana sport wengine tu ambao kwa wiki wanalipwa zaidi y milioni 500
 
Search google
.
.
Thanda island $10,000 USD per night, minimum stays of seven nights
.
Pata nifaa sana kwa Honeymoon.
 
Kama katika hotel hiyo ukilala hapo usingizi wake unakuwa tofauti na huu tuliouzoea, Na chakula na vinywaji vya hapo ukila hautosikia kiu wala njaa kwa mwaka mzima itabidi tujipange twende. Maana hakuna namna
 
Wakati watanzania wanakimbiza kusunda mahela yao ulaya wengine wanakuja huku;
hivi hizo hela siku wakifa watazikwa nazo?
 
ngoja nitafute mstaafu mmoja tukakule bata huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…