kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Hivi baada ya KANU kufa mali zake ilizochuma enzi za chama kimoja hatima yake imekuwaje? Maana huku kwetu Tz ma ccm bado yameng'ang'ania mali za umma nakugeuza mali za chama chao
Mali gani za umma zilizong'ang'aniwa na CCM ? Acha wivu wa kike, angalia picha hiyo chini ukajinyonge kabisa.
Jengo la kitega uchumi cha Jumuiya ya Vijana ya CCM, (UVCCM), amnbalo limejengwamkabala na jengo la zamani la jumuiya hiyo, linaonekana upance wa kulia wa jengo hilo jipya, barabara ya Morogorojijini Dar es Salaam