Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

Mlidhani hoteli inajengwa popote Kama ile kebby's ya mwenge
 
Hii thrii staa hotel imeanza kupokea wageni?
He Kuna mtakii yoyote aliyewahikwenda Chato national park?
Ndege zitua pale Chato?
Mary Masanja bado Ni naibu waziri?
 
We fara unayakumbuka aya maneno yako?? Fara mkubwaa wewe na mchumia tumbo tu
Kikwete alopojenga msoga tulilalamika
Mkapa hakujenga kwao tulilalamika
Jpm kajenga kwao tumelalamika
Sisi ni watu wa kulalamika tu

Ova
 
Hayo mahotel yatageuka kuwa magofu mara tu atakapotoka madarakani.

Mtalii gani ataenda CHATO? Kwa lipi?
Hayajageuka magofu na mama Samia ameapa kuyamalizia yote
 
Hayajageuka magofu na mama Samia ameapa kuyamalizia yote
Kwahiyo akiyamalizia yote ndo hayawezi kugeuka magofu?! Atakachoweza yeye ni kuendelea kupoteza pesa za walipa kodi kujengea miradi aliyoacha JPM lakini hatakuwa na uwezo wa kuifanya miradi hiyo iwe materialized! Hatakuwa na uwezo wa kufanya wageni waende Chato na kufikia kwenye hiyo hotel unless ahamaishie vikao vya taasisi serikali huko Chato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…