Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri ya katiba mbovuDaah inasikitisha sana samutaimzi baadhi ya mambo ukikumbuka
ErHata Mobutu alijitahidi kupendelea kwao, lakini mwisho wa siku yamebakia tu kuwa magofu.
Wale wanyama nadhani Sasa NI kivutio Cha majangiliSasahivi nini kinaendelea?
Matumizi mabaya ya fedha za ummaWale wanyama nadhani Sasa NI kivutio Cha majangili
Kikwete alopojenga msoga tulilalamika
Mkapa hakujenga kwao tulilalamika
Jpm kajenga kwao tumelalamika
Sisi ni watu wa kulalamika tu
Ova
Hayajageuka magofu na mama Samia ameapa kuyamalizia yoteHayo mahotel yatageuka kuwa magofu mara tu atakapotoka madarakani.
Mtalii gani ataenda CHATO? Kwa lipi?
Kwahiyo akiyamalizia yote ndo hayawezi kugeuka magofu?! Atakachoweza yeye ni kuendelea kupoteza pesa za walipa kodi kujengea miradi aliyoacha JPM lakini hatakuwa na uwezo wa kuifanya miradi hiyo iwe materialized! Hatakuwa na uwezo wa kufanya wageni waende Chato na kufikia kwenye hiyo hotel unless ahamaishie vikao vya taasisi serikali huko Chato!Hayajageuka magofu na mama Samia ameapa kuyamalizia yote
Nani aende kung'atwa na ndoroboHayajageuka magofu na mama Samia ameapa kuyamalizia yote