Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

Yaani ukiona Chato airport ukubwa na barabara double road to and from kuunga barabara kuu ya Lami,hata KIA hapajawa na hitaji double road kuunga main road, tuone aibu kiasi, this is too much.
 
Inawaka waka Chattle ai mama ...inapendeza chattle ai mama....jua lile literemke mama ..[emoji443][emoji443][emoji445]
 
Yaani ukiona Chato airport ukubwa na barabara double road to and from kuunga barabara kuu ya Lami,hata KIA hapajawa na hitaji double road kuunga main road, tuone aibu kiasi, this is too much.
Chato oyeeee !!
 
Awamu hii Chato wamelamba Dume. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo TANAPA wanawekeza hoteli ya nyota tatu hapo chatu? natumai pale Arachuga palipo makao yao makuu tayari ipo ya nyota tano.
 
Ileje kuna mradi gani?
Mkuu Buji, kwa nini uende mbali kote huko Ileje?

Hivi Geita (mkoa) una wilaya moja ya Chato?

Kuna miradi mingapi inayoendelea kwenye wilaya nyingine zilizoko Geita, au wananchi wa Geita wanafurahia kwa vile Chato ipo mkoani kwao?

Halafu sasa naanza kujiuliza kitu kingine, baada ya kukusoma hapo na kumtaja huyo waziri Masanja! Kuna mwingine Mabula..., n.k.; n.k..
Hakuna jambo la kufikirisha na kutia shaka hapa?
 
Ni bora mara mia kuweka 'kikaragosi' kuliko kubaki yeye mwenyewe.

Tumewahi ona sehemu mbalimbali duniani 'vikaragosi' vikiwagomea waliovitengeneza baada ya kushika madaraka. Malawi ikiwa mfano mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…