kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Hawa wasubiri mpaka chato viwanja vya kujenga viishe kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wasubiri mpaka chato viwanja vya kujenga viishe kwanza
ZahanatiIleje kuna mradi gani?
Pale Ufipa nyumbu wote pomokeni hapa uwanja ni wenu
Chato oyeeee !!Yaani ukiona Chato airport ukubwa na barabara double road to and from kuunga barabara kuu ya Lami,hata KIA hapajawa na hitaji double road kuunga main road, tuone aibu kiasi, this is too much.
Duuuh!😱 Hapo ni wapi Mkuu?
kumbukeni Morogoro hamna airport
johnthebaptist wewe utakuwa unakula mabututuHakuna mradi wo wote zaidi ya kutubomolea vivuko vyetu katika mto Songwe tulivyokuwa tunavitumia kupata bidhaa kwa bei nafuu kutoka Malawi. Bujibuji
Mkuu Buji, kwa nini uende mbali kote huko Ileje?Ileje kuna mradi gani?
Ni bora mara mia kuweka 'kikaragosi' kuliko kubaki yeye mwenyewe.Wabunge wote wako pale kwa hisani yake. Watathubutu kusema chochote? Jamaa aliona mbali. Alijua akiwaweka kwenye nafasi hizo hawawezi kufungua mdomo kwani mtu hawezi kukata mkono unaomlisha. Na hii miradi inaashiria kitu kimoja: Bado yupo sana kuhakikisha ameikamilisha na kuisimamia. Yupo beyond 5 years to come. Labda watanzania wawe wakali kweli kweli tena kweli ashindwe kujiongezea muda. Ila bado ataweka kikaragosi chake atakachokiendesha remotely.