KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kujenga hoteli ya nyota tatu ni kitu kimoja. Lakini kuwapata watalii wa kuweza kulala hapo ni kitu kingine kabisa na hasa hali hii tuliyo nayo ikiendelea ilivyo.Magofu mengine yanaandaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujenga hoteli ya nyota tatu ni kitu kimoja. Lakini kuwapata watalii wa kuweza kulala hapo ni kitu kingine kabisa na hasa hali hii tuliyo nayo ikiendelea ilivyo.Magofu mengine yanaandaliwa
mshipa wa aibu ni muhimu mno kwa mwanadamu !!This is too much
Ngoja tuangalie huenda chini ya kapeti wana kampango fulani hivi amazing kuleta watalii wa kulala hapoKujenga hoteli ya nyota tatu ni kitu kimoja. Lakini kuwapata watalii wa kuweza kulala hapo ni kitu kingine kabisa na hasa hali hii tuliyo nayo ikiendelea ilivyo.
UongoSerikali inatekeleza ilani ya CCM!
Kwa sasa kila eneo nchini kuna miradi mikubwa inaendelea.
Kwio.View attachment 1715798Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa Shinyanga Mwadui ikakatwe Iringa, ili Wanyalu nao wafaidike na madini hayo.
Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita.
Hakupeleka kiwanda Cha Tancut Almasi Mara wala Butiama.
Magufuli amekuwa ni mtu wa kupendelea kwao tu utadhani Tanzania ni Chato tu.
1. Uwanja wa ndege mkubwa umejengwa Chato
2. Wanyama wamesombwa huko Serengeti, wamepelekwa Chato.
3. Uwanja mkubwa wa michezo kujengwa Chato.
4. Hospitali ya Kanda ya Ziwa imejengwa Chato.
Je, wanaccm mmeshindwa kukemea upendeleo huu?
Mjulisheni Mwenyekiti wenu kuwa anachokifanya sio uzalendo, ila ni ubaguzi. Anawabagua watu wasio wa Chato.
Kuku wa Taifa lazima aliwe na wote, hata watu wa Ileje na Tandahimba wanahitaji kwao kujengwe, sio kila kitu Chato tu
===
Naibu Waziri wa Utalii Mary Masanja akagua miradi ya utalii Geita
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amefanya ziara katika Mkoa wa Geita ambapo pamoja na mambo mengine amekagua miradi mbalimbali ya kiutalii inayotekelezwa na taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii mkoani humo, anaripoti John Bera (WMU) Geita.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (katikati) akiwasili kukagua hoteli ya Nyota 3 ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ( TANAPA) inayojengwa wilayani Chato mkoani Geita wakati wa Ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi mbalimbali ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya mkoani Geita. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Chato, Eng. Charles Kabeho na kulia ni Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi Kanda ya Magharibi, Martin Loibooki.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Robert Gabriel kuhusu mpango wa Wizara ya Maliasili na Utalii wa kutaka kuanzisha Utalii wa Madini katika mkoa huo wakati wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo.
Akiwa katika ziara hiyo amefanya mazungumzo na viongozi wa Serikali wa mkoa na wale wa taasisi zilizo chini ya wizara kuhusu namna bora ya kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana katika mkoa huo.
Aidha, Mhe. Masanja ametembelea Mradi wa Ujenzi wa hoteli ya Kitalii ya Nyota 3 inayojengwa wilayani Chato mkoani Geita na kuagiza ujenzi wa hoteli hiyo ukamilike haraka ili watalii waanze kupata fursa ya kutumia huduma za malazi katika hoteli hiyo na kutembelea hifadhi mbalimbali zilizopo Kanda ya Ziwa.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (kulia) akiwa anashuka kwenye hoteli ya Nyota 3 ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ( TANAPA) inayojengwa wilayani Chato mkoani Geita wakati wa Ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi mbalimbali ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya mkoani Geita. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Chato, Eng. Charles Kabeho.
Amesema, Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Geita kuhakikisha shughuli za utalii zinasonga mbele huku akitoa rai kwa viongozi hao kuweka mkazo katika zao la asali ambalo amesema likisimamiwa vizuri litaongeza mapato.
"Tuhamasishe zao la asali linalotokana na nyuki, sasa hivi kuna mnyororo mkubwa wa thamani ambao Serikali inaendelea kuupigania kwenye mazao ya misitu, hii itasaidia wananchi kuongeza kipato pia pato la Taifa,"amesema Mhe. Mary.
Aidha, ameongeza kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii iko katika mpango wa kuanzisha Utalii wa Madini ambao kwa Kanda ya Ziwa utasaidia kuongeza idadi ya watalii na mapato.
Hii hoteli ni muhimu sana,hasa kimkakati maana kila rais akienda huko itajaza wageni balaaView attachment 1715798Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa Shinyanga Mwadui ikakatwe Iringa, ili Wanyalu nao wafaidike na madini hayo.

Yaelekea huna ufahamu. Hivyo ulivyovitaja kujengwa sehemu mbali mbali ni kwa vile vinahitajika zaidi huko na metokea baada ya majadiliano na kuonekana viwekwe huko. Zaidi ya hayo, vingi ni aidha ilani ya Cham au mipango ya serikali ya siku nyingi ikingojea pesa.Ni swali tu ' hivi ile hospitali yenye hadhi ya hospitali ya Taifa ya Muhimbili ipo wilaya na mkoa gani nchini Tanzania?
Tuwe tunakumbuka yaliyotendeka awamu zilizotangulia kwa ajili ya hoja kuntu. Hakuna dhambi wala kosa lolote kupeleka miundo mbinu ya hospitali, hoteli za kitalii, huduma za kibenki na mambo mengine kama hayo Chato; Chato nayo ni sehemu ya Tanzania na kwa Kiongozi Mkuu wa Nchi yetu. Rais ameekeza katika maeneo mbalimbali kama vile hospitali, miundo mbinu ya Barabara na reli, umeme mfano SGR na bwawa la Mwl. Nyerere maarufu kama stiglers gorge, hospitali za rufaa za mikoa na wilaya, vituo vya afya, interchange za mfano kama ubungo interchange na miundo mbinu mingine muhimu nchi nzima. Cha ajabu na kinachosikitisha ni kwamba miradi hii mikubwa na iliyobadilisha taswira ya Tanzania ilipoanza kutekelezwa ilikumbumbana na upinzani toka kwetu sisi tunaopenda kupinga kila jambo bila sababu za msingi na yakinifu. Hima JPM songa mbele ukikumbuka kuwa mti wenye matunda ndio hushambuliwa na amini kuwa ukistaafu utasikia maneno kama ''nafuu JPM mara tumemkumbuka JPM".
Asipofanya hivyo majengo mengi Chato yatageuka magofu ndani ya miaka 5 baada ya kutoka.Wabunge wote wako pale kwa hisani yake. Watathubutu kusema chochote? Jamaa aliona mbali. Alijua akiwaweka kwenye nafasi hizo hawawezi kufungua mdomo kwani mtu hawezi kukata mkono unaomlisha. Na hii miradi inaashiria kitu kimoja: Bado yupo sana kuhakikisha ameikamilisha na kuisimamia. Yupo beyond 5 years to come. Labda watanzania wawe wakali kweli kweli tena kweli ashindwe kujiongezea muda. Ila bado ataweka kikaragosi chake atakachokiendesha remotely.
Mbunge ndio financer? Niko hapa Isoko, na ninatembea almost kila Kijiji kwa ajili ya biashara zangu za minadani, usafiri ni wa hovyo, maji hamna, huduma za afya ni za hovyo, watu wanatolewa hospital wanapelekwa kwa waganga na kwenye maombezi.
Hiyo miradi iko wapi? Sisi watu was pande hii tumeikosea nini serikali?
Mnasema wapinzani wametuchelewesha Sana. Mbona hili Jimbo halijawahi kuwa chini ya upinzani?
!!??Serikali inatekeleza ilani ya CCM!
Kwa sasa kila eneo nchini kuna miradi mikubwa inaendelea.
Anaeidhinisha fedha zitoke ni nani??Mawaziri wanashindana kujipendekeza kupeleka miradi huko kumfurahisha Jiwe.
Ujasema hospital gani kuwa wazi au unamaanisha mloganzila hospital Kama ni hii ipo kibamba daressalaam.na lililokuwa jiji halijatoa RAIS.kinachowatatiza watu ni mfulilizo wa miradi ktk WILAYA moja.hapo tunajiaanda na ujenzi wa chuo Cha utumishi wa umma soon mh Mkuchika atatembelea mradi.Ni swali tu ' hivi ile hospitali yenye hadhi ya hospitali ya Taifa ya Muhimbili ipo wilaya na mkoa gani nchini Tanzania?