FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
weekend njema:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu, za kwako zipo kwa wapi katika ramani ya mwili wako?ni mzuri sana lkn hizo tatoooooooo,sijazipenda kiivyo zo kapendeza nazo,smtimes we do things that cost us alot,I had zem wayback lkn kuzitoa ni ishu my dia.she is vey sweeeeeeeeeet.
ni mzuri sana lkn hizo tatoooooooo,sijazipenda kiivyo zo kapendeza nazo,smtimes we do things that cost us alot,I had zem wayback lkn kuzitoa ni ishu my dia.she is vey sweeeeeeeeeet.
Lulu, za kwako zipo kwa wapi katika ramani ya mwili wako?
ulifanikiwaje kuzitoa dearest...msaada hapo., kuna frnd wangu anataka kutoa yake ya kiunoni.
ni mzuri sana lkn hizo tatoooooooo,sijazipenda kiivyo zo kapendeza nazo,smtimes we do things that cost us alot,I had zem wayback lkn kuzitoa ni ishu my dia.she is vey sweeeeeeeeeet.
Anatumia parachichi?
ulifanikiwaje kuzitoa dearest...msaada hapo., kuna frnd wangu anataka kutoa yake ya kiunoni.
kama ya kiunoni aiache tu haina ubaya
mtoto mzuri kumbe na wewe ulikuwa umeziweka
Pole sana ...Kuna mmoja hapa analia kuzitoa hazitoki..aliziweka enzi za ujana kwenye manyonyo sasa ana watoto anatamani kuzitoa lakini ndo hizo hazitoki
duh acha tu mpz smtimes u have to sacrifies kama kweli unahitaji kufanya ukitakacho,nilijaribu kutumia maziwa fresh na sindano kupitisha ze same places kwenye michoro ikagoma,nilipompokea bwana na mokozi wangu zilinitesa sana,wat I did was terrible kama anamoyo kama wangu na kumaanisha akitakacho afanye,nilijichoma kwa basi ya moto sehem zote zile na kuumia sana,nilipewa dawa nyingi mno,bahari nzuri nilipata dawa toka nje ya kufuta makovu,u cnt imagini nikikuonyesha semeh huwezi kuona hata kovu wala dalili yake.
Acha tu mamy bila Yesu sijui ningekuwa wapi!sikutaka kuwa na alama tena mwilini mwangu.
duh acha tu mpz smtimes u have to sacrifies kama kweli unahitaji kufanya ukitakacho,nilijaribu kutumia maziwa fresh na sindano kupitisha ze same places kwenye michoro ikagoma,nilipompokea bwana na mokozi wangu zilinitesa sana,wat i did was terrible kama anamoyo kama wangu na kumaanisha akitakacho afanye,nilijichoma kwa basi ya moto sehem zote zile na kuumia sana,nilipewa dawa nyingi mno,bahari nzuri nilipata dawa toka nje ya kufuta makovu,u cnt imagini nikikuonyesha semeh huwezi kuona hata kovu wala dalili yake.
typo error...pac?....mhh kweli inahitajika roho ngumu, msaada zaidi...unaweza kuniambia dawa gani hiyo ili nikimpa maelezo nimpe mazima mazima?
Say it again: Amen
mtoto mzuri kumbe na wewe ulikuwa umeziweka
Pole sana ...Kuna mmoja hapa analia kuzitoa hazitoki..aliziweka enzi za ujana kwenye manyonyo sasa ana watoto anatamani kuzitoa lakini ndo hizo hazitoki