TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Umekosea makusudi au kwa nia?....sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi,....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea makusudi au kwa nia?....sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi,....
akimpa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali itakua Safi mno lema awe waziri wa mambo ya ndani.Mwambie lisu aachane na amsterdam arudi huku rais ampe kazi ya kufanya.
Hata lema pia mwambie habari ya kuishi ugenini haifai
Hujiamini katika hilo maana unazunguka sana. Wanaojiamini hawazunguki zunguki wanaenda moja kwa moja " NDIO NITAILINDA HIYO KATIBA MPYA" kisha anasubiri kama kuna swali linalofata.Unauliza au unapigia jibu mstari?
Ni zamu yao, shenzi sanaWengi wao watahama nchi
Tumedhamilia kuwahamisha mataga wrote na kundi lenu la sukuma gang mrudi kwenu rwanda na burundi mliko zoea machafuko.Mbona Mghwira ni mkuu wa nkoa wa Kilimanjaro? Sema wewe shida yako ni hadi Lisu ateuliwe ndio utaona hatubagui.
Mwambie arudi sasa aje tumteue
Wakakeshe kaburini. Ila MUNGU fundi sana aiseeHuo ni ukweli usiopingika bado wamechanganyikiwa mitano yao mingine wapeleke kule kaburini.
Hujiamini katika hilo maana unazunguka sana. Wanaojiamini hawazunguki zunguki wanaenda moja kwa moja " NDIO NITAILINDA HIYO KATIBA MPYA" kisha anasubiri kama kuna swali linalofata.
Hao wote uliowataja sio wapinzani ni takataka za ccm zilizokuwa ndani ya upinzaniSioni jipya hapa.
JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani ! Issue ni kuwa ukishateuliwa inabidi ukubali kutekeleza ilani ya CCM, na hapo ndipo ulipo ugumu kwa vyama vya upinzani; ni ugumu huo unaowalizimisha wateule kuhama vyama baada ya kuteuliwa.
Wakakeshe kaburini. Ila MUNGU fundi sana aisee
Huyu munyampaa akipewa uwakili mkuu wa serikali itapendeza sana mengine madogomadogo ni ya kurekebishika tuLissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Yawezekana haujui kirefu cha MATAGAMama anawapa MATAGA wakati mgumu sana sana
Upo?....Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi....
Ulipoingilia hoja inamaana ulikuwa na majibu na utayari wa kuulizwa maswali yanayofuata baada ya kutoa majibu.Najibu ninachotaka na sio kuendana na hiyo marking scheme yako. Yaani nisubiri swali lingine toka kwako ww kama nani hapa jukwaani?
mlifirwatwote bila shakaWewe K.. Magufuli aliku.f.ir.a nini kabla hajafa!?.. kila post unamuwaza yeye. Punguza jazba kuna maisha baada ya JPM. Samehe na kusahau ma.rinda yatarudi tu. hayupo tena duniani.
Ulipoingilia hoja inamaana ulikuwa na majibu na utayari wa kuulizwa maswali yanayofuata baada ya kutoa majibu.
Nakufananisha na bwana mmoja alivamia hoja ya 1.5T akaitokea ufafanuzi na ubao kumbe hakuwa na utayari.
kwani wapinzani wana rangi tofauti?Hao wote uliowataja sio wapinzani ni takataka za ccm zilizokuwa ndani ya upinzani