Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021


Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?

Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....

Scandalous!!
Mbowe ana roho nzuri sana. Yaani kafanyiwa yote haya halafu alikaa kimya kama hamna tatizo. Mwisho wakamvunja mguu Ndugai akaanzisha gazeti kwamba kavamiwa bar. Yaani huyu Mungu huyu!!! Tuzidi kumuomba atatenda maajabu
 
Sasa anataka alindwe na nani? Bavicha au?

Huyu na yeye tangu baba mkwe wake amwachie chama amekua msumbufu sana.
Vitu vyote wamseme JPM ila la kulindwa na walinzi toka nje ni kwamba haiwezekani kamwe na haitakuja kutokea
 
Hizo za kulindwa na watu kutoka nje mwanzo nilidhani ni uzushi, baadae nikathibitisha ni kweli japo waliondolewa baadae. Ukaribu wake pia na Tall ulipitiliza, baadae ghafla ukakata. Kuna mengi sana ya kushangaza kipindi kile mengine hatuwezi kuyasikia
 
Mbowe amekosa utu na ustaarabu, Hivi anaanzaje kumkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa!!! hakika huu sio uungwana.
Binafsi nimemshangaa sana.
 
Lazima hasira iwe kali ameharibu biashara ya siasa, kufufuka labda 2025.
Anayehukumu naye atahukumiwa.Mm sioni sababu ya kumhukumu mtu ambaye hayuko duniani nao huo ni ushetani.Huu ushetani tunautoa wapi?Kama tuna guts si mgemsema wakati Yuko hai?kwa wakristo hii haikubaliki samehe saba mara sabini na utabarikiwa uje hukumu si hukumu la mwanadamu Bali ni Mungu
 
Mbowe amekosa utu na ustaarabu, Hivi anaanzaje kumkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa!!! hakika huu sio uungwana.
Binafsi nimemshangaa sana.
Anafikisha ujumbe kwa jamii. Mwendazake alikuwa hawezi kusemwa akiwa hai.
 
Sasa hasira za mkosaji zinatuhusu vipi sie. ? JPM hakucheka na matapeli, hata wale waliomo kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…