Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Linapokuja suala la CCM kubakia madarakani kwa wizi wa kura, mgombea wao wa urais (incumbent Rais) huwa analazimishwa hata kama atasema eti hataki, ingawa sijui kama iliwahi kutokea huko nyuma kwa Rais hata mmoja aliyewahi kutaka kuondoka na kutamani maamuzi ya watu yaheshimiwe

Suala CCM kuendelea kukaa pale madarakani TISS na Jeshi wanalitreat kama usalama wa Taifa na wala haitokuja itokee mpinzani apewe Nchi kwa Katiba na mfumo wa NEC wa sasa. Hili wala hatuhitaji kudebate otherwise ni kujipa false hopes
Kanisa katoliki likitaka hakuna Cha Tiss Wala Jeshi litakalozuia uamuzi wa wananchi. Believe me Kanisa katoliki ndo mlezi wa CCM. Kama unabisha uliza Kenya na Drc. Kwa Zambia na Malawi Ni Kanisa la kiprotesnt.hutaki unaacha!
 
Tulia tukunyoe kwa chupa
Umnyoe nani ndezi ww..
Meko wenu kenda zake msitegemme atarudi sasa mama anawarudishia akili zenu bado mnajifanya hamnazo 🐖🐖🐖👹nyinyi
 
Kanisa katoliki likitaka hakuna Cha Tiss Wala Jeshi litakalozuia uamuzi wa wananchi. Believe me Kanisa katoliki ndo mlezi wa CCM. Kama unabisha uliza Kenya na Drc. Kwa Zambia na Malawi Ni Kanisa la kiprotesnt.hutaki unaacha!
You are fooling yourself. Kanisa katoliki halina lolote when it comes to these matters.

Hiyo DRC yenyewe unayoitaja RC waliishia kusema data zilizokusanywa na observers wao zilionyesha mshindi tofauti na Felix Tshisekedi lakini hawakuwa na ujasiri wa kuzipublish. Leo Rais wa DR Congo unamjua ni nani
 
Umnyoe nani ndezi ww..
Meko wenu kenda zake msitegemme atarudi sasa mama anawarudishia akili zenu bado mnajifanya hamnazo 🐖🐖🐖👹nyinyi
JPM anaishi kwenye mioyo ya watanzania
 
You are fooling yourself. Kanisa katoliki halina lolote when it comes to these matters.

Hiyo DRC yenyewe unayoitaja RC waliishia kusema data zilizokusanywa na observers wao zilionyesha mshindi tofauti na Felix Tshisekedi lakini hawakuwa na ujasiri wa kuzipublish. Leo Rais wa DR Congo unamjua ni nani
Huna taarifa za DRC wewe na why RC walikubali yaishe. Kifupi hujui nguvu za taasisi za dini katika mabadiliko ya kimfumo wa nchi. Subiri siku ndoa ya Kanisa katoliki ikiisha Kama CCM itachukua round.
 
Kwa hiyo kesho Nchi itatikisika? Of course nampenda Mbowe ni mwelewa sana na Hakurupuki. Mapungufu yapo kwa kila Mtu ila kiuhalisia Mbowe ni mwana Diplomasia halisi.
 
Huna taarifa za DRC wewe na why RC walikubali yaishe. Kifupi hujui nguvu za taasisi za dini katika mabadiliko ya kimfumo wa nchi. Subiri siku ndoa ya Kanisa katoliki ikiisha Kama CCM itachukua round.

Ambaye hana taarifa ni wewe. Hujui chochote kuhusu DRC na uchaguzi wao. RC waliishia kupiga kelele kwenye media na hakuna walichofanikiwa. Mpaka leo Martin Fayulu hana lolote na Tshisekedi anadunda fresh tu. RC ubavu tu wa kutaja jina la wanayedhani alikuwa mshindi walikuwa hawana...

Ndoa ya RC na CCM kama ipo Tanzania haivunjiki leo wala kesho. RC wao wataendelea kuwa huru (kutoa matamko na takwimu etc) na CCM wataendelea kufanya yao as long as sisi wananchi tumekubali kuwa mazuzu na kuendelea kuwa reactive mitandaoni kwa kutoa lawama na kujifanya tumesahau a week later kila CCM wanapopora uchaguzi
21AAA13B-CBF5-464C-8F6C-D9309406942A.jpeg
 
Back
Top Bottom