Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Hili ni bwiji la siasa Tanzania kwa sisi ccm wenye hekima tutamsikiliza ili kupata hoja za muhimu
 
serikali imekua na viongozi wakubwa wengi anataka kuongea serakali Tutaanza kuona mengi
 
Sabaya tu kamchachafya ataweza sasa mengine? Alishashuka hadhi huyo
Ushamsikia tena akifanya ufedhuri baada ya tarehe 17 March? Kimbora chake kwishney, muda si mrefu anageuka mboga, twasubiri tu list ya Mama ya DC's na DED's.
 
Tunasubiri mwongozo huo kwahamu sana kama taifa..busara za freeman elikael mbowe ,mbunge wamioyoni Jimbo LA HAI,kiungozi kambirasmi upinzani bungeni alie hai bungeni angali shughuli zake ziko nje yabunge,mwenyekiti kidemocrasia chadema taifa...mwisho kabisa kaka etu wa MANA sana...mungu akubariki kwakweli.....mwanakondoo kashinda,tumfate
 
CHADEMA wakijipanga vizuri wanachukua nchi 2025.

provided kuna tume huru.

pambanieni sana tume huru

acheni blah blah mingi

raisi SSH ameshasema hataki kodi za dhuruma obvious hatopenda kura za dhuruma pia.

akishidwa kihalali ataachia kiti.

so CHADEMA kazeni buti It's now or never
Mimi bado siamini
 
Back
Top Bottom