Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Naam,
Natumai itakuwa Hotuba nzuri yenye kutuleta pamoja Kama taifa, kutushikamanisha na kutuliza vidonda vya maumivu ya yale tuliyoyapitia hususani Uchafuzi(Uchaguzi) uliopita, na dira ya Taifa akiwa kama jicho la tatu la Taifa.

Freeman Aikael Mbowe Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu Hapa Duniani.
Aingie kwenye uchaguzi Buhigwe aongeze wa bunge.
 
CDM wakijipanga vizuri wanachukua nchi 2025..
provided kuna tume huru......
pambanieni sana tume huru....
acheni blah blah mingi
raisi SSH ameshasema hataki kodi za dhuruma obvious hatopenda kura za dhuruma pia...
akishidwa kihalali ataachia kiti....
so CDM kazeni buti It's now or never
Aliyekuamia atapitishwa kugombea na CCM 2025 ni nani?CCM haiwezi kuchezea shillingi chooni,hatujasahau changamoto ya 2015.
 
Aeleze pia Mwenyekiti wa kanda ya kaskazini Godbess Lema anaendeleaje kuwa mwenyekiti wakati yuko Canada ukimbizini.Wakimbizi huwa hawaruhusiwi kujihusisha na siasa.Hicho cheo chake nafasi itazobwa lini?
Pole sana Mnyonge
 
Kwani Mbowe ni nani mpaka ahutubie Taifa?Si mwenyekiti wa Chadema tuu,Kama Lipumba alivyo CUF mnakuuzaa
 
Sasa sijui itakuwaje , utazima redio au utazima Tv ? maana Mwamba ndio anajipanga kuhutubia Taifa
Hawezi kuhutubia taifa..,.atazungumza na vyombo vya habari...anayezungumza na taifa haaliki waandishi wa habari Bali anazungumza na taifa akiwa Ikulu na speech yake inarushwa Moja kwa Moja..
 
Washenz wameanza kuinua vichwa! Midomo ilikua imechacha kwa miaka 5, sasa umeanza kuifunua.
Mbona kipindi Mangu yuko hai hukuinua chongo yako. Haya tutakuja kuona unavyo kengezesha kengezesha mimacho.
 
Washenz wameanza kuinua vichwa! Midomo ilikua imechacha kwa miaka 5, sasa umeanza kuifunua.
Mbona kipindi Mangu yuko hai hukuinua chongo yako. Haya tutakuja kuona unavyo kengezesha kengezesha mimacho.
Shukrani sana kwa kutufuatilia
 
punguzeni mihemko khee
Kwani mkiandika Mwenyekiti Mbowe Kulihutubia Taifa haitoshi!

Hii ya kulitikisa Taifa ya Nini?
Msipotoshe watu
Mbowe atahutubia na watu watamsikiliza kwani ni charismatic (ndiyo ana ushawishi mkubwa)
Hotuba zake huwa zinabeba matumaini na uponyaji so atasikilizwa kwa utulivu
 
Back
Top Bottom