pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TzKwani ni kiongozi wa Kitaifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TzKwani ni kiongozi wa Kitaifa?
Sasa sijui itakuwaje , utazima redio au utazima Tv ? maana Mwamba ndio anajipanga kuhutubia TaifaAnayeweza kuhutubia Taifa ni mmija tu....ni Rais was nchi na Amiri Jeshi Mkuu.
Usijidanganye kwa ucahafu, wizi, ujambazi na uhuni uliofanywa na 'yule mtu' Jina la Mwenyezi Mungu lihimidiwe milele na milele.Sabaya tu kamchachafya ataweza sasa mengine? Alishashuka hadhi huyo
Endelea kutega sikioMbowe alikuwa wapi tangia uchaguzi uishe na kugaragazwa, maaana hata huku hai hajaonekana kabisaa!!.
anataka kuzungumzia mambo ya uchaguzi nini?
Kama ni masuala ya KATIBA MPYA bado huu sio muda wake, sasa ni wakati wa kulijenga taifa letu na sio kuonyeshana ujuzi wa kujenga hoja.
hakuna aliyegaragazwa zaidi ya ule ushetani uliofanywa na wakuu wenu ambao ulikuwa chikizo kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu akasikia kilio chetu kutoka juu.Mbowe alikuwa wapi tangia uchaguzi uishe na kugaragazwa, maaana hata huku hai hajaonekana kabisaa!!.
anataka kuzungumzia mambo ya uchaguzi nini?
Kama ni masuala ya KATIBA MPYA bado huu sio muda wake, sasa ni wakati wa kulijenga taifa letu na sio kuonyeshana ujuzi wa kujenga hoja.
Umesharudi chato?Kwani ni kiongozi wa Kitaifa?
Hapana ni kiongozi wao ndo anaongoza mapambio ya hukoAsiye na makengeza leo yupo anahojiwa na malaika
Jenga hoja acha kukashifu uumbaji wa mungu hakupenda kuwa na hayo makengeza kwa mungu na watu wengine Ana thamani Sana kwa hiyo tubu hiyo dhambi haraka Sana au huna uzazi Nini ?Mr.zero namsikiliza kumuenjoy tu na macho yake ya makengeza kama nyoka wa makengeza
Daaah nisamehe mkuu jina lako nimesoma haraka haraka eti papuchi kavuNaam, tunasubiri kwa hamu
Ha ha ha kama mwamba wako ni huyo mzee wa faru John basi una hasara maisha yako yote.Mwanba anaunguruna.
Kifo humkuta mwanadamu Mara moja tu katika maisha yake na anabakia katika historia kama Jiwe kilivyomkuta.Mbowe alikuwa wapi tangia uchaguzi uishe na kugaragazwa, maaana hata huku hai hajaonekana kabisaa!!.
anataka kuzungumzia mambo ya uchaguzi nini?
Kama ni masuala ya KATIBA MPYA bado huu sio muda wake, sasa ni wakati wa kulijenga taifa letu na sio kuonyeshana ujuzi wa kujenga hoja.
Linapokuja suala la CCM kubakia madarakani kwa wizi wa kura, mgombea wao wa urais (incumbent Rais) huwa analazimishwa hata kama atasema eti hataki, ingawa sijui kama iliwahi kutokea huko nyuma kwa Rais hata mmoja aliyewahi kutaka kuondoka na kutamani maamuzi ya watu yaheshimiweKeshasema hataki kodi za dhuruma obvious hatopenda kura za dhuruma.....so komaeni njia nyeupe....
nadhani atakubali kuachia madaraka CCM wakishindwa uchaguzi