SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tuliza kishundu hicho dada mkubwaHotuba ya Mbowe itise nchi? Acha kupotosha umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza kishundu hicho dada mkubwaHotuba ya Mbowe itise nchi? Acha kupotosha umma.
Sinaga matatizo na Wazanzibari, ndio watu ambao walau wanayaishi mafundisho ya dini yao; nasikia hata Dr. Shein alikubali kumuachia nchi madevu uchaguzi wa mwaka 2015 but Chinga ndio aliweka ngumu, inasemekana kipindi hicho Chinga ndio alikua anaongoza nchi kwa remote.CDM wakijipanga vizuri wanachukua nchi 2025..
provided kuna tume huru......
pambanieni sana tume huru....
acheni blah blah mingi
raisi SSH ameshasema hataki kodi za dhuruma obvious hatopenda kura za dhuruma pia...
akishidwa kihalali ataachia kiti....
so CDM kazeni buti It's now or never
Naam, tunasubiri kwa hamu
Hivi na yule kibaka ni wakuongelewaAnataka kumuongelea Sabaya?
Tatizo la kahaba mwanaume ndio hilo, kulazimisha wateja.Tuliza kishundu hicho dada mkubwa
Ukabila ulianzishwa na hilo kundi na bado linaendelea kuimba ukabilaAcha Ukabila mkuu
Huyu SSH hajafuta usemi wake: hata mkiwapa upinzani kura CCM ndiyo itaunda serikaliCDM wakijipanga vizuri wanachukua nchi 2025..
provided kuna tume huru......
pambanieni sana tume huru....
acheni blah blah mingi
raisi SSH ameshasema hataki kodi za dhuruma obvious hatopenda kura za dhuruma pia...
akishidwa kihalali ataachia kiti....
so CDM kazeni buti It's now or never
Lakini hajasema haitokuwepo, kasema tusubiri kwanzaSamia keshasema mambo ya Katiba Mpya (hence Tume huru) yasubiri kwanza...
Bunge hili la Ndugai halina ubavu wala political will ya kuinitiate mambo ya Katiba. Tutaingia kwenye uchaguzi kwa NEC hii hii ya sasa
Wewe sukuma gang njoo uchukue buku saba ya supu maana mrija umekataMr.zero namsikiliza kumuenjoy tu na macho yake ya makengeza kama nyoka wa makengeza
Sio Sabaya pekee bali na nguvu kubwa kutoka juu ilihamia Hai. Sabaya pekee hana ubavu wakutunishiana na Mbowe.Sabaya tu kamchachafya ataweza sasa mengine? Alishashuka hadhi huyo
Hakuna ufumbuzi,kelele mpaka lini Mkuu?Ukabila ulianzishwa na hilo kundi na bado linaendelea kuimba ukabila
Mbowe ni kiongozi wa upunzani mwenye hekima na busara nyingi sana. Nimemfuatilia kwa muda mrefu siyo hao kina lisa na wapambe wake wenye mihemko kama kuku wanaotaka kutaga mayai
Baada ya kushindwa kummaliza kwa risasi basi ndiyo mmeamua kumchukia mh Lissu maishani mwenu hadi mnaingia kaburiniMbowe ni kiongozi wa upunzani mwenye hekima na busara nyingi sana. Nimemfuatilia kwa muda mrefu siyo hao kina lisa na wapambe wake wenye mihemko kama kuku wanaotaka kutaga mayai
Kama kiongozi wa kitaifaANAHUTUBUA TAIFA KAMA NANI?
Kiboko ya siasa chafu za matagaMwamba!!! Kama Mwamba
Ni wachovu wa lumumba kwani walikuwa wanaombea wasikie kuwa Mbowe amefariki ili waaanze kusherehekeaWale waliokuwa wanamuulizia kesho mtamuona sasa.
Kaka. Jiwe ameshakufa. Muache apumzike. Mbona umemshupalia sana. Mbona mzimu wake unakusumbua sana.Inakuhusu nini wewe chawa wa jiwe?
Kumbe jiwe halipo tena?Kaka. Jiwe ameshakufa. Muache apumzike. Mbona umemshupalia sana. Mbona mzimu wake unakusumbua sana.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app