Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Naam,
Natumai itakuwa Hotuba nzuri yenye kutuleta pamoja Kama taifa, kutushikamanisha na kutuliza vidonda vya maumivu ya yale tuliyoyapitia hususani Uchafuzi(Uchaguzi) uliopita, na dira ya Taifa akiwa kama jicho la tatu la Taifa.

Freeman Aikael Mbowe Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu Hapa Duniani.
 
Samia keshasema mambo ya Katiba Mpya (hence Tume huru) yasubiri kwanza...

Bunge hili la Ndugai halina ubavu wala political will ya kuinitiate mambo ya Katiba. Tutaingia kwenye uchaguzi kwa NEC hii hii ya sasa
Keshasema hataki kodi za dhuruma obvious hatopenda kura za dhuruma.....so komaeni njia nyeupe....
nadhani atakubali kuachia madaraka CCM wakishindwa uchaguzi
 
Alieze taifa Kwa nini ametumia million 377 za Chadema bila idhini ya wazee wa baraza.

Amezitumia kwenye fly to KIA baby
#CAG report.
 
Back
Top Bottom