Hotuba ya Freeman Mbowe kwenye Msiba wa Sabodo imefichua mengi ambayo tulifichwa

Kweli wajinga ndio waliwao,taarifa ya mafuta ilikuwepo kwenye magazeti siku moja baada ya huyu mzee aliedhulumiwa na chadema kufariki
 
Hata mimi namshangaa huyu Erythrocyte kumbe ni mbumbumbu wa mambo mengi ambayo kwake ni mageni kabisa masikioni mwake. Ndio maana Mbowe anawaburuza sana huko CHADEMA kama manyumbu au makondoo.
Mbumbumbu katika lipi? Mbumbumbu utakuwa wewe mbeba vuvuzela kusifia tuu walio madarakani kama bwege mtozeni.
Kama ulikuwa unajua hilo la Sabodo lini umewahi kulisema kujulisha watu zaidi ya kusifia sifia watu kama mtu mjinga?
Maana mtu mjinga anaweza kujipendekeza hata mtu akipumua na kutoa hewa chafu yeye akachekekea na kusema hii aina ya perfume ni nzuri.
Jitambue Lucas acha kuonyesha ufamba wako hadharani, maana kuna kila dalili unajilazimisha kuondoa utu wako. Na watu wenye hulka hizo wengi huishia kuwa [emoji304]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
ACHENI UNAFIKI kwani nyie ndio wabaguzi wakubwa na mnawabagua kwa sababu ya dini yao
 
Mbowe alizungumzia pia zile pesa za Mzee Sabodo alizowapa Chadema wakachimbe visima Arumeru wakazila?
 
mkuu hivi amethubutu kusema na ile hela ya kujenga ofisi ya chadema aliyopewa akaitafuna pekeyake ameweka wazi au hiyo kaficha?????
 
Kumbe kuna wakati Sabodo alibeba dhamana ya Nchi kwenye uhaba wa Mafuta (nadhani ni diesel na Petroli) , cha kushangaza anasubiriwa Mbowe ndio ayaseme haya ! hivi viongozi wanaoficha historia hii hawaijui au hawataki ?
CCM waliona aibu kumpa maua yake Sabodo kama ilivyokuwa kwa Mzee Lowasa!
Hawa ccm hawa sijui! 😭 😭 😭
 
Hotuba nzuri tumeanza kuzisikia toka enzi ya Nyerere, Mbowe aeleze msaada wa fedha waliopewa na marehemu kuchimba visima na kujengea ofisi walipelekwa wapi?
Sikilizeni hotuba hiyo nyinyi au hamna bando ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…