Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha! Endelea kusubiri. Wakinipa jibu nitakutaarifu!Nipo hapa nasubiri na mimi Chadema watoe jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaha! Endelea kusubiri. Wakinipa jibu nitakutaarifu!Nipo hapa nasubiri na mimi Chadema watoe jibu
Unamjua Mzee Sabodo wewe au unamzungumzia Mzee Mgeja wa Shinyanga? Ahahahahaha!!!Sabodo uwiii mwizi wa mali za umma akishirikiiana na wezi CCM huku.akivia 2015 kuwa Lowasa atashinda baada ya kwinda Chadema kuwa watashinda 2015 tapeli mkubwa
Aliangalia upepo
Sabodo alikuwa kibaka hasa sema kafa mwenyezi Mungu atajua wapu amuweke huyo.kibaka mkubwa mwizi wa mali za umma sabodo
CCM NI JANGA LA TAIFA HILI WOTE NI MAJIZIView attachment 2945198
Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya Wazalendo kama Sabodo wanapofariki , Ikiwezekana hata mizinga ivurumishwe hewani watu hawa wanapofariki , haiwezekani tunawaenzi wezi na makatiri lakini tunawaacha watu wema kama hawa .
Kumbe kuna wakati Sabodo alibeba dhamana ya Nchi kwenye uhaba wa Mafuta (nadhani ni diesel na Petroli) , cha kushangaza anasubiriwa Mbowe ndio ayaseme haya ! hivi viongozi wanaoficha historia hii hawaijui au hawataki ?
Iko haja ya viongozi wapya wachanga wa nchi hii kufundishwa kwanza walioifikisha hii nchi hapa ilipo badala ya kupewa vyeo kwa mtindo wa Koneksheni na Uchawa .
Uhakika ni kwamba over 90% ya viongozi wa nchi hii wakiwemo mawaziri na viongozi wa ccm hawajui Uzalendo wa Sabodo na ni Aibu kwao na Aliyewateua , Unateuaje watu wasioijua Nchi yao ?
Boss kila mwaka wa uchaguzi huwa mnasema hayo hayo,insanity is keeping doing the same way your expecting different results.Chadema itaing'oa ccm na watu wake 2025 bila huruma yoyote ile , usiingizwe kwenye porojo za kijinga