Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Tukumbushie na ile ya South Africa ya kwamba

View: https://www.youtube.com/watch?v=e3BNegmIUKM

"Tanzania is union of Zimbabwe and Pemba" oh!! No no no!!!, sorry!! It is Zambia and Mafia🤣
 
Intro kama hiyo angeimeza tu ,kulikuwa hakuna haja ya makaratasi.

Ila Kinge ni noma sana aisee ,ukimuona akitema kiswahili yaani anatirika hatari lakini ikija Kinge utamuonea huruma michapio kama yote wakati anasoma on behalf of ma self ,senki you vere mache mr chea and all contestants who contested.
 
Ndiyo maana JPM alikuwa anakipiga vita hicho Kiingereza

Hivi hakukuwa na option ya kuongea Kiswahili na hizo device zikatafsiri?

Nimeona Wachina wanawasilisha taarifa zao Kwa kutumia Kichainizi
Angetumia hicho kimatumbi maneno kama Kazi iendelee,anaupiga mwingi yangekuwa yanajirudirudia.Bora english ni kufuli la maneno ya Shombo.
 
To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.

1.PNG
2.PNG

3.PNG
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Kingereza kizuri sana, i wish nijifunze kingereza cha kingoni.
Tatizo Lusangi mnataka kila mtu aongee kingereaza cha Mbowe na Lissu .
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Kwani hupendi amtaje ''pilesident Samia''? On serious note: Hii hotuba inaonyesha viongozi wetu walivyo na vichwa hewa. Ni translation ya kutoka kwenye maudhui ya kiswahi-CCM pamoja na vimelea vya uchawa kwenda lugha ya english. Tanzania tupo nyuma sana kwa kiingereza na mbaya zaidi siyo ufasihi wa lugha tu bali ni quality ya mtu anachozungumza.
 
Back
Top Bottom