Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
L L L nyingi sana R R R zinapiga Chenga duh 🙄 !
Alisemaga JK hakuna Chuo kinachotoa kozi ya Uwaziri !! 😅🙌
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Si mlishabikia na kupiga debe Dkt Ndugulile kwenda WHO as if hatuna shida na watendaji wenye weledi wa kutosha kwa kada husika?

Siasa zinagharimu sana hili taifa.
 
Unafikiri hao wazungu wanawaza hayo mnayowaza!!?

Wanajua fika huyu ni mtanzania na kiingereza sio lugha mama kwahiyo matamshi hayatokua sawa kama mzungu!

Ni nyie TU washamba sana,kwani wachina,warusi,wakenya,wanaijeria Wana lafudhi Gani ya kiingereza wanapotamka!!?
 
To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.

View attachment 3081569
Kama raisi wake tu. Elimu ya kuunga unga kwingi.
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Angekuwa anababaisha kwenye kuongea Kiswahili ningemmaindi sana. Lakini lugha ya watu? Ya nini kuishobokea?
 
Back
Top Bottom