Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,ila Kiingereza ni Kiswahili cha Dunia,ni lazima kwa mtu wa ngazi ya Waziri kukimanya!!Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Kuna msomi aliyesoma kwa Kimatumbi? Haiwezekani ukasoma hadi masters degree kisha usijue Kiingereza ilhali tangu kidato cha kwanza unaitumia lugha hiyo.Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Unaiita lugha ya watu ilhali kikatiba inatambulika kama lugha rasmi katika nchi yako.Angekuwa anababaisha kwenye kuongea Kiswahili ningemmaindi sana. Lakini lugha ya watu? Ya nini kuishobokea?
ukishaona introduction yake imeanza na she.. f꙰v꙰c꙰k꙰ f꙰v꙰c꙰k꙰ secondary school... bla bla nyingi jua hapo hakuna kitu.To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi...
alikuwa anamaanisha ama matani tu ?Tukumbushie na ile ya South Africa ya kwamba "Tanzania is union of Zimbabwe and Mafia" oh!! No, sorry!! It is Zambia and Pemba
Hiyo ni slavery mentality tu mkuu. Tembea uone. China, Urusi, Japan, Korea Kaskazini nk. Wanamaendeleo makubwa sana wakati hawatumii Kiingereza. Na kwa taarifa yako nchi ambazo zimejitenga na kiingereza ndio zilizoendelea sana tu lakini nchi zenye kuendekeza utumwa wa akili ndio nchi zilizonyuma kimaendeleo. Mpaka tutakapojitambua ndio tutapata maendeleo ya kweli.Sawa,ila Kiingereza ni Kiswahili cha Dunia,ni lazima kwa mtu wa ngazi ya Waziri kukimanya!!
Jenister Joachim Mhagama
mbona kiingereza cha waziri ni kizuri tu, tena tena kinaeleweka zaidi ya hata cha mkurugenzi mtendaji wa WHO mwenywe wa dunia mh. Tedros Adhanom GhebreyesusLucas Mwashambwa, Tlaatlaah bila shaka mnatokwa machozi ya furaha Mama ameweza!

