Hizi ndizo tunasema akili za kitumwa. Nenda Urusi kama utafundishwa kwa Kiingereza. Madaktari wazuri hapa TZ ni wale wamesoma Udaktari wao huko Urusi na walitumia Kirusi.Kuna msomi aliyesoma kwa Kimatumbi? Haiwezekani ukasoma hadi masters degree kisha usijue Kiingereza ilhali tangu kidato cha kwanza unaitumia lugha hiyo.
😁