Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

😳🫢😅 ananikumbush kipind naskuli kwny presentation co pow Yan ni Bora nkachimbe shimo au kung'oa visiki
Ungekuwa unajificha chooni 🤣🤣
Kuna watu walikuwa wanajifichaga chooni na ole wako ujifanye mjuaji uwataje utachezea kichapo had ushangae 😹😹😹
 
To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.


View attachment 3081568View attachment 3081569

View attachment 3081570
Ni aibu hii, niliwahi kusema hapa waziri wa wizara husika wawe na fani ya wizara husika na uzeofu wazira husika, mfano ona wenzetu ni medicine and dr tena phds and masters mpaka bachelors.
Halaf eti cv ya wa kwetu, jesus? Halaf unatarajia aweze ku perform vizuri? Tuanateua watu based on ukada, na si performance and good cv
 
Kwani hupendi amtaje ''pilesindent Samia''? On serious note: Hii hotuba inaonyesha viongozi wetu walivyo na vichwa hewa. Ni translation ya kutoka kwenye maudhui ya kiswahi-CCM pamoja na vimelea vya ucahwa kwenda lugha ya english. Tanzania tupo nyuma sana kwa kiingereza na mbaya zaidi siyo ufasihi wa lugha tu bali ni quality ya mtu anachozungumza.
Quality of education iko low, ndio maana wakienda unga wa kimataifa wanajikuta wako chini, outperformed kabisa. Maana wenzetu wako juu kielimu.
Just imagine huyu ni decion maker wa wizara husika, and one day ata sain mikataba kwa niaba ya nchi

Nchi inahitaji reforms kwakweli, tunatiana aibu
 
Tanzania tamu aiseee
And again on behalf................. 😄😂
Unapewa nafasi ya uwaziri ikiwa huna vigezo, huwa napingana Sana watu kutetea kuwa uwaziri sio lazima uwe umesoma lakini kuna tofauti kubwa Sana kupewa nafasi ukiwa na vigezo vinavyohitajika...tunabebana mwishowe huduma nyingi hazina mwelekeo sababu huwa ndo hizi za Akina Jenny Mahogany.

I humbly submit zis on my own behalf and whulu Jf Crew without forgoting Jaji Mfawidhi sank you
 
Hicho cha Lissu na Mbowe kikoje? Ni kile cha mother dead, father dead , now job au ?
Umeshawahi kumsika mbowe akiwa nje ya nchi akiongea? Umeshamsikia lissu akiongea huko nje?

Last year walikuwa wanahutubia makundi mbali mbali nje ya nchi, and walikuwa efficient na lugha. Japo lafudhinya kitanzania ipo but walikuwa fluent
Huyo mwenye cv tena diploma ya ualimu kutoma chuo kisichoeleweka anaenda kukutana na professionals wenye phds and masters kwneye uga wa afya, na wanajua wanafanya nini. Utawafananisha nao?
 
Sijamdharau ila muda wooote na Hela zoote kashindwa hata kuji update na lugha kidogo...

Kama anashindwa kusoma hivyo ataelewa Nini kwenye mikataba hiyo mikubwa may be on her own behalf, Jaji nawaza tu Kwa sauti 😊
Kwenye wizara Kuna watendaji akiwemo katibu mkuu.
 
Miongoni mwa Mawaziri ambao sijawahi kuwaelewa.... Na sijawahi kumkubali kabisa......😀😀😀
 
Back
Top Bottom