Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- Thread starter
- #101
Hii ndo hali halisi ya wapumbavu tulionao.... hao wamekimbilia kujadili kiingereza na naamini hyo hotuba hawajaisikiliza hata!!Kaka nadhani umekosea kidogo. Kwangu mimi hakuna anayemcheka huyu mama kwa kuongea kiingereza kibovu. Mimi naona ni uwasilishaji wa mada. Angeweza hata akamwambia Waziri wa foreign akawasilisha taarifa. Hata angetumia kiswahili. It would have been very ok. Tz ingeweza ikalipa mkalimani. After all kiswahili ni lugha ya AU. Ingawa WHO ni UN but ingewezekana.
Kwangu mimi dada Jenista hakujipanga.
Hivi waziri wa Afya unaweza kutoa presentation mbovu hivi? Achilia mbali lugha mbovu hiyo content yake sasa!!
Huyo UCD ndo miongoni mwa kima walioko kwenye corridors of power... amekazania sana ooh English sio lugha yetu utafikiri mkataba wa DP world umeandikwa kiswahili. 🤣