kiufupi ni nongwa tu za waja,
Lakini kiujumla waziri amezungumza vizuri sana kiingereza na mpaka delegates wote waliokuwamo ndani ya ukumbi wa uchaguzi wakapiga makofi kumaanisha wamelewa vizuri alichokua akizungumza waziri,
actually,
alipaswa kutumia kiswahili, jambo ambalo bilashaka angelikua shujaa zaidi hivi sasa kitu ambacho binafsi naona ndicho muhimu Zaidi angefanya..
hata hivyo,
amezungumza kiingereza kizuri zaidi ya Miguel Gamondi wa yanga ambae anachapia mbaya sana na hakuna mtu anashangaa wala kucheka 🐒