Tukumbushie na ile ya South Africa ya kwambaHii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Ukisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweliHii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Kwa niaba yanguUkisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweli
Angetumia hicho kimatumbi maneno kama Kazi iendelee,anaupiga mwingi yangekuwa yanajirudirudia.Bora english ni kufuli la maneno ya Shombo.Ndiyo maana JPM alikuwa anakipiga vita hicho Kiingereza
Hivi hakukuwa na option ya kuongea Kiswahili na hizo device zikatafsiri?
Nimeona Wachina wanawasilisha taarifa zao Kwa kutumia Kichainizi
Kazi kwelikweliUkisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweli
Safi sana... Kilikuja na Meli hikoo..Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Hatari 😅🙌Angetumia hicho kimatumbi maneno kama Kazi iendelee,anaupiga mwingi yangekuwa yanajirudirudia.Bora english ni kufuli la maneno ya Shombo.
Kingereza kizuri sana, i wish nijifunze kingereza cha kingoni.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Kwani hupendi amtaje ''pilesident Samia''? On serious note: Hii hotuba inaonyesha viongozi wetu walivyo na vichwa hewa. Ni translation ya kutoka kwenye maudhui ya kiswahi-CCM pamoja na vimelea vya uchawa kwenda lugha ya english. Tanzania tupo nyuma sana kwa kiingereza na mbaya zaidi siyo ufasihi wa lugha tu bali ni quality ya mtu anachozungumza.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....