Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Leo hii ametoa hotuba (maelezo) kwa waandishi wa habari kuhusu figisu za Uchaguzi huu mkuu.
Ni Serikali ya kijinga tuu ndio inayoweza kupuuzia maonyo aliyotoa bwana Kigaila katika kuiponya nchi isiingie katika machafuko ambayo kwa dunia ya sasa hatma yake ni kiongozi mkuu wa nchi na wasaidizi wake kuishia The Hague.
Kweli CHADEMA ya sasa sio ile ya Jana, na watu wapo tayari.