MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Inasikitisha sana kuona hawa watawala wanageuza Tanzania kuwa kama kiwanja cha kindergarten na waTz ni watoto wa chekechea!! Yale yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Tulidhani pengine this time watakuwa na aibu. Magufulu hana aibu, hana soni na dhamira yake ya kutangazwa mfalme anaitendea haki - lakini nina wasiwasi hawa anaowaona kama chekechea wanaweza kusema SASA BASI liwalo na liwe. Ninakubaliana na Benson, Tanzania ni yetu sote na sote ni wazalendo.