Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #21
Hii inaonyesha kuwa Mgombea wao Rais Magufuli hajafanya mambo yanayowavutia wananchi kiasi cha kujitoa kumchagua tena.Kinachoendelea ni ujinga. Matendo ya kinafiki yanamchafua mgombea wa CCM. Yanamfanya kuwa mmbakaji wa haki za watu
Tayari ana hofu ya kudondoshwa hivyo kutumia nguvu kubaki madarakani au kuwa na wabunge wengi atakao weza kudhibiti bunge.
Ni aibu kubwa sana kwa taifa hili kufikia mahali MTU mwenye nafasi ya Waziri mkuu au Spika wa bunge kufanya au kuruhusu kufanya mambo ya kijambazi kutaka kupita bila kupingwa.
Labda ndio haya aliyosema Bashiru (ambaye) kesha onekana ndio katibu mkuu wa kwanza ccm kupanga hadi ujambazi kuiokoa ccm tofauti na kina Kinana waliokuwa wanaishindisha CCM kwa mbinu za akili
Evidence! https://t.co/psD6wF9nHo