Pre GE2025 Hotuba ya Lissu Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Asema amekuwa na Mbowe kwa zaidi ya miaka 20 bila kugombana, amshukuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ameamua kugombea Uenyekiti kwa sababu tu Wenje aliamua kugombea nafasi ambayo aliamini ilikuwa yake. Na alipotangaza tu kugombea uenyekiti zikaanza kampeni za kumtaka Mbowe asigombee. Hakuwahi kuzikana hizo kampeni.

Kukiri kuwa alistushwa na Lissu kugombea sio kumzuia kugombea. Mbowe hajawahi kumzuia mtu kugombea na hamna kampeni zilizofanyika za kumtaka Lissu asigombee. Watu wa Lissu walitegemea kuwa wakipiga kelele na kumchafua kutamfanya Mbowe aone kuwa bora asigombee. Hiyo mbinu ime backfire.

Katika huu uchaguzi ni Mbowe na Odera peke yao waliosema kuwa watakubali matokeo ya uchaguzi bila masharti yeyote. Lissu atakubali matokeo kama utakuwa huru na wa haki. Maana yake ni kuwa akishindwa hautakuwa huru na wa haki.

Amandla...
Mazingira na nyakati yamesababisha Lissu kugombea uenyekiti, na hakuna kanuni wala sheria aliyovunja kwa kugombea uenyekiti. Mojawapo ya sababu zilizomsukuma kugombea ni kukiokoa chama, hila na uhuni wa Mbowe kwenye uchaguzi kanda ya Nyasa ku.pitisha Sugu mpambe wake na ule ws Victoria kumbeba Wenje ni tosha kwa mwenye mapenzimema na CHADEMA kuja kukiokoa.

Kuhusu kuchafuana naona umekaririshwa au akili yako imekataa kukubali kweli, baada ya Lissu kutangaza nia yake ya kugombea wapambe wa Mbowe akina Paul Ntobi na Yericho Nyerere na akina Wenje na wengineo ndio walioanza kumponda Lissu mitandaoni kumwita mropokaji hana hekima nk. Na Mbowe hakuwahi kuwakemra hata mara moja, hadi kamati ya nidhamu ya mkoa wa Shinyanga ilipomvua madaraka.

Watu na wanachama wa CHADEMA kwa mara ya kwanza wameonyesha dhamira ya kutaka mabadiliko, na kwa kazi aliyoifanya Mbowe wameona bora apishe ilu Lissu aendeleze kazi aliyoifanya asiaibike kwenye sanduku la kura.

Dalili za rushwa kwa wapambe wa kambi ya Mbowe zimeonekana dhahiri mfano kwenye uchaguzi wa BAVICHA, na Mbowe hakemei. Uchaguzi wa kanda ya Nyasa na Victoria uliharibiwa na Mbowe akiwapitisha wapambe wake Sugu na Wenje, kwa hiyo akisababisha hila alizofanya kuwapitisha au kupita akirudia upuuzi huo ajue kambi ya Lissu hawatikubali.
 
Haya ni maneno yako. Alichosema Lissu ni kuwa aliamua kugombea baada ya Wenje kuamua kugombea. Yericko alikuwa anakanusha madai ya Lissu kuwa Wenje alienda na Abduli kumpelekea hongo. Jambo ambalo Wenje na clip ya mahojiano ya Lissu ilimuonyesha akikiri kuwa Abduli alienda kwake katika juhudi za kumsaidia alipwe madai yake. Na alisema kuwa alimwambia Abduli kuwa akimsaidia atakuwa rafiki yake milele. Hayo sio maneno ya kumwambia mtu anayejaribu kukuhonga! Ntobi alisema maneno ya ovyo na alipochukuliwa hatua na mkoa wake hamna aliyemtetea.

Kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa Lissu alidai kuwa kuna pesa za mama Abduli zimeingizwa ili rafiki yake Msigwa ashindwe. Aliposhindwa Msigwa akakimbilia kwa Mama Abduli ambako alipokewa kama mwana mpotevu. Na kuna kada mmoja wa CCM alitamba kuwa mazungumzo na Msigwa yalianza zamani. Hapo nani amekula pesa ya Mama Abduli? Hivi Sugu angeshindwa halafu angehamia CCM msingemsimanga kuwa pesa za Mama Abduli zimegonga mwamba? Heche alishindwa na Matiko lakini Mbowe akamteua kuingia kwenye Kamati Kuu. Mbona hamkusema alikuwa anamhonga?

Mpigieni kura mtu wenu bila kutaka kumchafua mshindani wake. Hiyo haina tija kwa chama chake.

Pointi zako zimenifanya nibadiri msimamo
 
Waliyoanza kukashifu ni kambi ya Mbowe na unawajua, kikubwa kwa Lissu kugombea hajavunja sheria yeyote, ila kwa kukubali kuwa Mbowe aliharibu uchaguzi wa kanda ya Nyasa hongera.

Ila porojo zako ni nyingi hazina mantiki walioanza kashfa ni wapambe wa Mbowe mara tu Tundu Lissu alipotangaza kugombea uenyekiti wa CHADEMA. Na wanaolialia ni timu ya Mbowe walioanza kumkashifu Lissu mropokaji.

Kikubwa timu Lissu hatuamini kama Mbowe ni Alfa na Omega kama nyie
 
Kipenda chongo chongo huona kengeza. Yericko alikuwa anajibu tuhuma kuwa Wenje yuko mfukoni mwa Abduli. Na kuwa Lissu alionyeshwa majina ya watu wanaovuta mshiko wa Abduli CDM. Alichokisema Yericko ni kuwa hizo tuhuma zilifikishwa kwenye Kamati Kuu lakini Lissu alipoombwa atoe uthibitisho alishindwa. Akatoa maelezo yaliyotolewa na Wenje kuhusu tukio hilo kuwa yeye Wenje alikuwa amemuomba Abduli aongee na mama yake ili Lissu alipwe. Akasema Abduli hakuamini kuwa Lissu hajalipwa ndio Wenje akampigia simu. Lissu akawaambia uthibitisho anao na wakienda kwake atawaonyesha. Wakaenda, akawaonyesha na Abduli akaahidi kulifanyia kazi. Lissu alipobanwa kuhusu uthibitisho wa hizo rushwa akasema aliyekuwa na uthibitisho amefariki!
Yericko akaongelea pia kuhusu utendaji wa Lissu katika nafasi za uongozi alizokuwa nazo ndani ya chama. Kuwa haiti vikao n.k. Tuhuma hizi hazijawahi kukanwa na mtu yeyote.

Lissu alipotangaza kugombea uenyekiti, Mbowe alisema kuwa bado hajaamua inabidi akae na jamaa zake ndio aamue. Hapo ndipo bomba la kejeli na kashfa likafunguliwa. Mbowe king'ang'anizi. Mbowe hana jipa akae na wajukuu. Mbowe amelambishwa asali. Mbowe ni mshirika wa mama Abdul. Kuna wengine wakafikia hatua ya kutaka kumhusisha na vifo vya makada wa CDM. Hizi character assassination zilipopamba moto ndio Mbowe akatangaza kugombea.

Sisi wengine tukajiuliza kwa nini kuna juhudi kubwa sana kumzuia Mbowe kugombea? Tukashangaa namna makada wa CCM wanavyomsifia Mbowe. Tulijua ilikuwa ni mbinu ya kumchafua Mbowe ili watu wampigie kura Lissu.

Kingine ni kuwa inakuwaje watu kama Msigwa na Slaa wampigie debe Lissu? Watu ambao katika nyakati tofauti wameshiriki kwa uwazi kabisa katika juhudi za kuibomoa Chadema.

Sisi tunachotaka ni uchaguzi. Baada ya uchaguzi tutamkubali yeyote atakae tangazwa kuwa mshindi. Hatusemi kuwa uchaguzi utakuwa feki kama Mbowe atashindwa. Hilo mnasema nyinyi kuhusiana na mgombea wenu.

Mahaba niue yamekupofua, hadi leo ukiingia kwenye akaunti za Yericho Nyerere anakashifu na kejeli, Ntobi hadi kanyang'anywa uongozi huoni.

Ila kaa ukijua watu wanataka mabadiliko na hakuna aliyemzui Mbowe wala kumuogopa Mbowe kugombea bali wamemchoka.

MBOWE MUST GO
 
Unarudia yale yale. Ngoja tu kushangilia ushindi wa kishindo wa Lissu.

Amandla...
 
Kwa sababu hutaki kuelewa nitarudia hadi upate ukombozi uelewe, nafanya kazi ya kitume unajua!
Naona haujui kuwa kuna kitu kinaitwa "ignore". Humo nimeweka wale wote ambao naona hawana tija kwangu. Na wewe nakuweka sasa hivi. Ina maana sitaona chochote utakachoweka kwenye Forum hii.
Nakutakia usiku mwema na ushindi katika uchaguzi unao endelea.

FAFO

Amandla...
 
Back
Top Bottom