Hapa ndipo MTANZANIA anapobidi ashangae wanasiasa,kutwa kucha wanasimulia habari za AMANI,UPENDO,UDINI na UKABILA na mara zote meneno haya yalikuwa yanaonyeshwa kwa wapinzani,lakini leo wameyanena wao wenyewe na kutuonyesha ni jinsi gani chama tawala kinavyoabudu UBAGUZI huu.