Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
 
Duuuh! yaani asubiri afe yeye?
Nimekumbuka muvi moja hivi,kichaa anamwambia mtu mwenye akili timamu kua 'nipige risasi nikunyooshe',bilashaka hakujua kua akipigwa risasi ATAKUFA.
 
Maana yake ni kuwa, siasa misibani hazikubaliki asilani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…