Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo

Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema

Wwenyewe Familia wameamua hivyo
Historia huwa haitungwi au kuamua kipi cha kuandika kipi cha kuacha.
Histori ni kuandika uhalisia wa kilichotokea/kwisha kutendeka na ndio maana Freeman Mbowe ameweka records sawa
 
Ni tanzania tu wanasema hawataki siasa misibani lkn kama umewahi kufuatilia misiba na siasa za Kenya utagungua nikitu cha kawaida sana, hivyo mbowe alikua sahihi
 
Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
Hopeless mind
 
Back
Top Bottom