Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Siasa ni biashara zenu sio mnapeleka kweny misiba ni ujinga kiwango cha lami.
 
Mungu ni mwema Wakati wote

Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa.

--
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.

View attachment 2907011

Huyu jamaa ni mwamba wa siasa leo nimeamini hilo mbowe ametisha kwa speech yake
Mpaka mama samia kacheza ngoma ya mbowe leo😁😁😁
Imebidi ataje CHADEMA
 
Mungu ni mwema Wakati wote

Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa.

--
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.

View attachment 2907011
MBOWE is very Brave man. Misisiyemu ni mijitu isiyo na akili
 
Jamaa ni mwamba aisee
Ile inaitwa Kata funua! Ndiye pekee ambaye katoa salamu za rambirambi na waombolezaji (wengi wao wamaasai) wakamshangilia kwa makofi.
View attachment 2907056
IMG-20240217-WA0030.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Bado hadi sasa najiuliza sababu hasa za waandishi wa ile historia kutaka kuficha kwamba Lowassa aliwahi kugombea urais wa Tanzania, ni uchawi au ni nini?

Kama wanaweza kujaribu kuficha historia kama ile ambayo kila mtu anaijua, hawa watu tunaweza kuwaamini katika lipi?
Ashukuriwe mbunge wa Monduli mh Fred Lowassa
 
Back
Top Bottom