Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Siasa ni biashara zenu sio mnapeleka kweny misiba ni ujinga kiwango cha lami.
 
Umeonae walivyommaloza. Sasa hivi Erythrocyte anadai yupo Mbeya anaandaa maandamano! Ahahahahaha!
πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa hua anapenda sehemu ambazo zina mgogoro wa Chadema ili apate la kuongea, samia ameshamfunika hvy amekimbilia maandamano
 

Huyu jamaa ni mwamba wa siasa leo nimeamini hilo mbowe ametisha kwa speech yake
Mpaka mama samia kacheza ngoma ya mbowe leo😁😁😁
Imebidi ataje CHADEMA
 
MBOWE is very Brave man. Misisiyemu ni mijitu isiyo na akili
 
Ashukuriwe mbunge wa Monduli mh Fred Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…