Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Historia huwa haitungwi au kuamua kipi cha kuandika kipi cha kuacha.Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo
Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema
Wwenyewe Familia wameamua hivyo
Kama hazikubaliki mbona kuna wanasiasa hapo msibani?
Nchi gani Kwa miaka 50 inaongozwa na chama kimoja...πππ
Unaficha wasifu halisi wa marehemu?
Punguza uzwazwa.
Unaijua nguvu ya wasifu AU unaleta akili za kitoto.
Punguza upumbavu japo ni mpumbavu mzamivu.
Hilo jibu unipe wewe sasa mkuu, mbona na majukwaani walipanda na wameelezea safari yake ndani ya CCM hiyo sio siasa au una double standards tu?Wameenda kuhudhuria msiba au kufanya siasa?
Hopeless mindAzungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.