Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Mbowe sio Mungu, ila kwa kweli unyama aliofanyiwa na serikali hii ya mwendazake, ni mazito. Yanaumiza!!
 
Nilishasema humu Magufuli, Mbowe na Lowasa wa 2015 ni watu ambo hutakiwi kuwakosoa maana wanamakundi makubwa sana ya watu ambao akili zao walishakabidhi kwao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Form six failure (DJ) unamlinganisha na Phd holder in Chemistry?
Nafuu uishie Form VI kuliko kuwa na PhD ya kuigiliza kwa mwenzio (Plagiarism). Magufuli alikopi kwa mtu mwingine.

Ni aibu mpaka kwa UDSM kwa namna Magufuli alivyopasishwa na Supervisor na Senate kupata hiyo PhD.

Ukitaka kuthibitisha maneno yangu nenda kesho Library kaiombe kuisoma, ukipewa, njoo hapa nitakutumia hata Tsh 250,000
 
Aja Ujinga a.k.a uzwazwa chadema ni maarufu hata kabla ya kigogo kuwa maarufu
 
Mkuu wafuasi wote mko hivyo, hata wafuasi wa yule zezeta wote mko hivyo; mnatukana kama yeye, mnaongea pumba kama yeye, mnasema uongo kama yeye, nk. Timba humfanana mporomoshaji 😂😂
 
Poleni, naona bado kawashikia akili, enendeni Gamboshi mtakuta .
 
Mfyuuuu
 
Mataga mmebaki wajane baada ya kumzika bwana wenu.
kweli tumebaki wajane,binafsi niliweza kulala usingizi nikijua na kuamini fika kuwa lasrimali na Taifa kwa ujumla lipo kwenye mikono salama chini ya JPM,kwa sasa Mungu atusaidie tu ili tuvuke salama chini ya Mama Samia.
Mapenzi waliyoyaonyesha watanzania kwa mpendwa wao toka kifo chake kilivyotangazwa na mpaka mazishi yake,kilidhihilisha pasipo shaka kabisa ni jinsi gani Rais Magufuli alikuwa wa kipekee kabisa ktk Taifa hili.
Na amini nakuambia,mbegu aliyoipanda JPM kwa watanzania wakubwa kwa watoto,itatoa akina Mgufuli wengine siku moja, na kiongozi yoyote atakayethubutu kuwarudisha watanzania kwenye zama zile za kabla ya 2015,cha moto atakipata.
Falsafa ya JPM ndio kipimo cha kuwapimia viongozi bora na wabovu hivi sasa.
Hizo shangwe zenu hazitobatilisha imani ikuyobakia mioyoni mwa watanzania.Legacy yake itaishi vizazi na vizazi.
 
Alivyokua akiwahadaa, wanyonge wake.. View attachment 1749778
Mwafrica hajawahi kuacha kuwa mnafiki,kelele zote hizo ni kwa sababu tu ya chuki,ukute anayepokea pesa hapo ni ufipa😅.
Yani unachukia hata kiongozi anapoamua kuhamasisha wateule wenzake kutatua matatizo ya wananchi,pathetic😎!
Unajua ni watanzania wangapi walifaidika na huo utaratibu?.
 
Kama ni legacy ya kupiga raia wake risasi mchana kweupe kwa kweli hayupo wa kuifuta. Legacy ya kuuwa demokrasia na Uhuru wa vyombo vya habari hayupo wa kuifuta. ASANTE MUNGU KWA KULIPONYA TAIFA KUTOKA KWENYE MIKONO YA WASHAMBA WA MADARAKA.
 
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Point to note
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…